"

Multimodal Activity with Worksheet Export

Naomi Salmon

Activity Materials

 

 

2childrensm

Rosa alikoma kutembea na mvulana ye yote. Alikaa peke yake. Hakuzungumza sana. Zakaria alifurahi. Hakujua Rosa alihitaji kujua wavulana kwa ajili ya maisha yake ya mbeleni.


Audio Player

Charles aliondoka Namagondo. Alikwenda shule ya Mkwawa. Rosa alichaguliwa kwenda shule ya sekondari ya wasichana katika mji mwingine. Sasa alihitaji pesa kununua shuka mbili, sanduku, na viatu, na pia barua ilimtaka aje shuleni na shilingi themanini. Lo! Zakaria hana pesa. Kwa hiyo, yeye na Regina wakakubaliana kwamba watauza ng’ombe mmoja.

Audio Player

Siku moja usiku Zakaria aliondoka. Alikwenda kunywa pombe. Regina pamoja na binti zake walikula chakula cha jioni pamoja. Regina aliongea na Rosa na watoto wengine akiwaonya wawe waadilifu. Alimwambia Rosa kwamba wasichana wengi wa shule hupata mimba. Wengi wao hutoa mimba hizo, yaani huua watoto, kwa vile hawataki kufukuzwa shule. Alisema pia kama Rosa akipata mimba asiitoe. Regina alisema kwamba atamsaidia kumtunza mtoto.Kwenye mwisho wa sura, Zakaria alirudi nyumbani, akawatisha watoto wote na Regina pia na mzaha wake wa “nyoka”.

Audio Player

maswali

Documentation tool
Instructions
Maswali 1/9
Maswali 2/9
Maswali 3/9
Maswali 4/9
Maswali 5/9
Maswali 6/9
Maswali 7/9
Maswali 8/9
Maswali 9/9
Maswali 10/10
Document Export
Instructions

Prepare the following discussion questions after reading Chapter 1 of Rosa Mistika.

Answer questions 1-9 using 1-2 complete sentences.

Question 10 requires at least 5 complete sentences.

On the final page, you will be allowed to export and save your answers as a pdf. You must save and submit your answers separately. They will not be saved here.

Maswali 1/9

1. Je, Zakaria alikuwa baba wa aina gani? Jadili.

Maswali 2/9

2. Rosa alihitaji nini ili aweze kwenda shule ya Rosary?

Maswali 3/9

3. Regina na Zakaria walikuwa maskini sana. Walifanya nini ili waweze kupata fedha kumpeleka Rosa shule?

Maswali 4/9

4. Je, Zakaria alimwambia Stella kwamba alikuwa akifanya nini na kamba yake?

Maswali 5/9

5. Nani alikuwa akipigana na Stella? Kwa sababu gani?

Maswali 6/9

6. Wakati wa chakula cha jioni, Regina alikuwa akizungumza juu ya nini na binti zake?

Maswali 7/9

7. Watoto walipiga kelele kwa sababu gani?

Maswali 8/9

8. Je, nyoka alikuwa nyoka wa kweli au hapana?

Maswali 9/9

9. Tunaona kwamba watoto wote hawawezi kupata elimu ya sekondari katikanchi ya Tanzania. Jadili tatizo hili.

Maswali 10/10

10. Sura hii inaonyesha matatizo fulani yaliyopo katika jamii za Afrika ya Mashariki. Yajadili matatizo hayo.

Document Export

On this page you will export your responses.

One or more required input fields need to be filled.

 

 

The source of this example is Rosa Mistika, an open textbook created by Katrina Daly Thompson, Amy Clay, Rebecca Mandich, Pamela Kimario, Serah Kivuti, David Lukachi, Mwita Muniko, Vincent Ogoti. This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License.

Creative Commons License


About the author

License

Icon for the Creative Commons Attribution 4.0 International License

Multimodal Activity with Worksheet Export Copyright © by Naomi Salmon is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 International License, except where otherwise noted.